Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo HABARI BURUDANI. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo HABARI BURUDANI. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 23 Agosti 2022
Jumapili, 21 Agosti 2022
OTILE BROWN
msaani wa rnb na Afro pop nchini kenya otile brown kwenye ziara zake za muziki na Biashara... Huku akiweka caption kuwa Biashara haifanywi na Mmoja......
Hii inatokea baada msaani huyu kuweka kwenye mitandao zoara zake za kimarejani ambayo ina subiriwa kwa sanaa....
Ijumaa, 19 Agosti 2022
MWANA MTULE
Wadau Naangua kicheko maana nimemkuta Gwiji kama Gwiji daaah wakenya hapa kuna hadithi Au niseme simulizi...... Alpha Mwana Mtule
Alhamisi, 18 Agosti 2022
Uhondo
Wapo ma Emcee wengi tanzania Au watangazaji wa Redioni au runinga Ila Alivo barikiwa huyu Bwana" @mc Gara B Daah kweli mkali wao..... Huyu ni miongoni mwa watanzania ambao wanatajwa wakatii ma supa sta wanai orodheshwa maana ni mpambee tena ana Sauti ya kuvutia.... Mtizame kwenye Kipindi cha Mr right tanzania.
AbraBino Mondragon Mapenzini na Corazon
Abra Bino Ukipenda mwite MonDragon Ke Ni msaani wa Nyimbo za Swahili Tena Za kimahaba tena Za kisasa .
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
MUACHE KUNIA BUDU MIMI SIO YESU
ROBERT POWELL MUIGIZAJI WA FILAMU YA YESU AMEWAAMBIA WAKRISTO "MIMI SIYO YESU, ACHENI KUNIABUDU" Mwigizaji Robert P...