Jumapili, 28 Agosti 2022
CORAZON AQUINO PISI KALI KUMBE
Corazo aquino Mkenya mwana dada ambaye yupo kwenye kabumbu Ameposti picha zake akiwa mitaani. Yavutia ajabu
Jumamosi, 27 Agosti 2022
Marioo Atisha Na Swagg Ya Dolce&Gabbana
Ni Bwana Omari Mwanga Ukopenda Marioo ametajwa sanaa kwenye midomo ya mashabiki wa muziki ya Kisasa Au Bongo+Afro fusion Na Kwenye Mistari zake yamekuwa ya Kutoa nyoka pangoni
Mapenzi Ya Corazon Yamweka MonDragon Kwenye Dhiki
Msaani MonDragon Ke Apotea baada ya kukutana na Corazon kwamboka ambaye inasemakana wapo kwenye mahusiano... Haya yana jiri baada ya meneja wa msaani huyo ku thibitisha kwenye Mahojiano kwa laini ya Simu Usiku wakuamkia jana kuwa Wamekwisha ripoti na kuandikisha ripoti polisi msako ukianza leo Maajira za Saa Nane leo hii.....
ALIFARIKI BAADA YA KUABIRIRI NDEGE KUJA NCHINI KENYA KUTOKA UGHAIBUNI
Abiria huyo mwenye umri wa miaka 66, alikuwa ameabiri ndege iliyokuwa safarini kuelekea Nairobi ikitokea New York nchini Marekani.
Jumanne, 23 Agosti 2022
UREMBO WA KYALO
Wanangu Bwana huku kuna Mapyaa endapo wakti ulikupita leo hii tuna simamisha lisaa Ili Udandienasi twende kama wana mgambo... Haya Hii ndio familia inayo tesa kwenye mitandao Ni madada ila mmoja Ni maarufu sana Anakwenda kwa jina La Betty kyalo(chalo) Duuu mafisi Emu mate ikomee
Jumapili, 21 Agosti 2022
OTILE BROWN
msaani wa rnb na Afro pop nchini kenya otile brown kwenye ziara zake za muziki na Biashara... Huku akiweka caption kuwa Biashara haifanywi na Mmoja......
Hii inatokea baada msaani huyu kuweka kwenye mitandao zoara zake za kimarejani ambayo ina subiriwa kwa sanaa....
Ijumaa, 19 Agosti 2022
MWANA MTULE
Wadau Naangua kicheko maana nimemkuta Gwiji kama Gwiji daaah wakenya hapa kuna hadithi Au niseme simulizi...... Alpha Mwana Mtule
Alhamisi, 18 Agosti 2022
Uhondo
Wapo ma Emcee wengi tanzania Au watangazaji wa Redioni au runinga Ila Alivo barikiwa huyu Bwana" @mc Gara B Daah kweli mkali wao..... Huyu ni miongoni mwa watanzania ambao wanatajwa wakatii ma supa sta wanai orodheshwa maana ni mpambee tena ana Sauti ya kuvutia.... Mtizame kwenye Kipindi cha Mr right tanzania.
Sanaa
AbraBino Mondragon Mapenzini na Corazon
Abra Bino Ukipenda mwite MonDragon Ke Ni msaani wa Nyimbo za Swahili Tena Za kimahaba tena Za kisasa .
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
MUACHE KUNIA BUDU MIMI SIO YESU
ROBERT POWELL MUIGIZAJI WA FILAMU YA YESU AMEWAAMBIA WAKRISTO "MIMI SIYO YESU, ACHENI KUNIABUDU" Mwigizaji Robert P...